TUNAPOKWENDA
Wizara itatumia fursa ya maadhimisho haya kubainisha tunapokwenda ikiwa ni pamoja
na kujikita zaidi katika utoaji huduma kidijitali pamoja na matumizi ya akili mnembe na telemedicine katika utoaji wa huduma za matibabu.