Afya Marathon
Tukio hili linatarajiwa kufanyika tarehe 06 Aprili 2025 mkoani Dodoma. Tukio hili litazinduliwa na Mhe Jenista Mhagama (MB), Waziri wa Afya. Lengo la Marathon hii ni kuongeza uelewa kwa jamii kuhusu umuhimu wa kuepuka tabia bwete ili kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza.
Vipindi mbalimbali vya redio na televisheni kuzungumzia maboresho katika sekta ya afya
Vipindi mbalimbali vya redio na televisheni kuzungumzia maboresho katika sekta ya afya
Maonesho ya bidhaa na huduma kwa taasisi na wadau mbalimbali wa sekta ya afya
Maonesho ya bidhaa na huduma kwa taasisi na wadau mbalimbali wa sekta ya afya
Huduma za upimaji wa afya
Huduma za upimaji wa afya
Kongamano la kitaaluma
Kongamano la kitaaluma
Kilele cha maadhimisho
Kilele cha maadhimisho