TULIPO

Wakati wa maadhimisho haya Wizara itaelezea hali ya utoaji huduma za afya ilivyo hivi sasa, ikiwa ni pamoja na kuonesha maboresho yaliyofanyika katika sekta ya afya kama vile vifaa vya kisasa ya upimaji, ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya kutolea huduma pamoja na uwepo madaktari wabobezi katika sekta ya afya.