TULIPOTOKA

Katika maadhimisho haya Wizara itatoa picha halisi ya huduma za afya zilivyokuwa zikitolewa kabla ya maboresho ya miundombinu, vifaa tiba na wataalam katika sekta ya afya.